ndefu
seebait
MICHEZO

Yanga wamalizana na Mavugo

tangazo 2

Yasadakika Yanga washamalizana na mavugo baada ya msemaji wao kupost picha iliyofichwa sura akisaini mkataba na Yanga.

Hatimaye baada ya utafiti wa kina yabainika mchezaji huyo yawezekana kuwa mi Mavugo baada ya picha zake kushabiana na vidani alivyovaa.Tuvute subira kwa Taarifa zaidi toka Yanga.

KITU
Tags
taboola

Related Articles

Close