ndefu
seebait
MICHEZO

Yanga : Ni wawili tu watakaobaki ambao ni…

tangazo 2

Wakati kukiwa na maswali juu ya ni wachezaji gani watakaobakia Yanga msimu huu majibu hayo yameanza kujibiwa na mwenyekiti wa klabu ya Yanga Mshindo Msolla

Msolla ametaja wachezaji wawili pekee wa kimataifa ambao watasalia Yanga kwaajili ya msimu huu wa ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL.

Msolla msomaji wa Kwataunit amefunguka kuwa wachezaji watakaosalia kulingana na ripoti ya kocha Zahera Mwinyi ni Papy Tshishimbi na Kipa Klaus Kindoki.

Kwa kauli hiyo wachezaji kama Thaban Kamusoko, Amis Tambwe wao tayari wameachwa na Yanga baada ya mkataba kuisha huku Makambo yeye akiwa tayari ameshajiunga na Horoya ya Guinea

KITU
taboola

Related Articles

Close