ndefu
seebait
MICHEZO

Wachezaji ambao washasaini Simba ila Picha bado hazijaachiwa

tangazo 2

Simba imekuja na utaratibu wao mpya wa kutambulisha wachezaji wao kwa kuachia picha mojamoja kila siku katika mitandao yao ya kijamii..

Yasadikika baadhi ya wachezaji ambao washasajir ila picha zao bado hazijawekwa hadharani ni pamoja na hawa

  1. Ibrahim Ajib
  2. Shomar kapombe
  3. Walter bwalya
  4. Paschal wawa
  5. Tshabalala

KITU
Tags
taboola

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close