ndefu
seebait
MICHEZO

Sadio Mane amepigwa marufuku Kucheza mchezo wa Taifa Stars na Senegal

tangazo 2

Mkufunzi wa Senegal Aliou Cisse amethibitisha kuwa nyota wake wa Liverpool Sadio mane amepigwa marufuku ya mechi moja hivyobasi hatoshiriki katika mechi ya ufunguzi dhidi ya Taifa Stars ya Tanzania nchini Misri.

Unadhani hii inaweza leta ahueni kwa Taifa stars ya Tanzania?

#sadiomane #mane #taifastars #afcon2019

KITU
Tags
taboola

Related Articles

Close