ndefu
seebait
HABARI

Mzee mwenye miaka 181 aangua Kilio akisema kifo kimemsahau

tangazo 2

MZEE WA MIAKA 181 AANGUA KILIO AKISEMA ‘KIFO KIMENISAHAU’

Mahashta Mûrasi raia wa India aliyezaliwa mwaka 1835 sio tu kwamba ndiye mtu mzee zaidi duniani, lakini pia ndiye mtu aliyeishi miaka mingi zaidi kuliko binadamu yeyote hapa duniani (hii ni kwa mujibu wa rekodi za kidunia za kutoka vitabu vya Guinness). Kulingana na taarifa zinazomhusu Mûrasi alizaliwa huko Bangalore, India January 6, 1835 na kukulia huko ambapo Desemba 1903, alihamia Varanasi, ambako alifanya kazi hadi mwaka alipoamua kustaafu akiwa na umri wa miaka 122.
Hivi karibuni aliangua kilio akisema, “Wajukuu zangu wamekufa miaka michache iliyopita.” “Lakini kwa upande wangu naona kifo kimenisahau. Na kwa sasa nimepoteza matumaini ya kufa (yaani anahisi kama hatakufa, ataendelea kuishi milele).” Alisema Mûrasi.

Ripoti ya World News Daily, inaonesha kuwa Mûrasi alizaliwa enzi hizo kwa hiyo tarifa za umri wa miaka yake ni za kweli.

KITU
taboola

Related Articles

Close