ndefu
seebait
MICHEZO

Mzee Kilomoni agoma kutoa Hati ya Simba,asema iko kabatini kwake

tangazo 2

“Simba haina mwekezaji bali ina mdhamini ama mfadhiri tu, kama kuna hisa wanagawana basi wengine ndo tuna hati ya klabu! juzi alikuja mwenyekiti aachane kabisa na huo mpango na waache kujaribu kunilaghai HAWATOFANIKIWA”
.
. “Klabu hii imeanzishwa muda sana ina majengo yake sasa mtu mgeni anakuja na kutaka kujimilikisha na kutuibia, hakika hili halitofanikiwa kamwe, na wakijaribu kwenda kutoa ripoti mahakamani kuwa hati imepotea huko ndio watakuwa wameenda kujichongea, hati ninayo hapa kabatini kwangu na hati hii ndio miliki halali ya Simba SC” .
.
Hamis Kilomoni >Aliyekuwa mjumbe wa baraza la wadhamini wa klabu ya Simba.

Cc : Yossima Sitta Jr

KITU
Tags
taboola

Related Articles

Close