ndefu
seebait
MICHEZO

Magori kutimka Simba ,Yadaiwa Mo kumleta C.E.O wa Kigeni

tangazo 2

Mtendaji mkuu wa Simba Crescentius Magori mguu ndani mguu nje Msimbazi. .

Yasemekana mwekezaji wa Klabu ya Simba Mohamed Dewji ‘MO’ yu mbioni kumleta mtendaji mpya wa kigeni kuchukua nafasi ya Magori baada ya Magori mkataba wake wa miezi sita kuisha.

Haijafahamika kwa nini Magori mkataba haujaongezwa huku katika kipindi cha uongozi wake Simba imefanya vizuri sana Kimataifa kwa kufika hatua ya Robo fainali na kuweza kutetea ubingea wake wa ligi kuu.
.

KITU
taboola

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close