ndefu
seebait
MICHEZO

Tetesi za usajili Yanga leo 29 May 2019

tangazo 2

Baada ya kutua nchini akitokea nchini Rwanda siku kadhaa zilizopita klabu ya Yanga imefanikiwa kumalizana na winga Patrick Sibomana aliyetokea Mukura Victory ya Rwanda.

Winga huyo ambaye anavitu vingi mguuni mwake inaelezwa ni moja ya winga ambaye kocha wa Yanga Zahera Mwinyi amevutiwa na uwezo alionao uwanjani.

Winga huyo msomaji wa Kwataunit inaelezwa kuwa amefanikiwa kusaini kandarasi ya miaka miwili na mabingwa hao wa kihistoria nchini Tanzania.

KITU
Tags
taboola

Related Articles

Check Also

Close
Close