ndefu
seebait
MICHEZO

Mwinyi Zahera awapatia hawa watoto

tangazo 2

Imeripotiwa kuwa Kocha Mkuu wa yanga sc Mwinyi zahera amejitolea Kisasi cha dollar 1000 kama mchango wake kwa watoto wasio jiweza, zahera ametoa pesa hizo kwenye zoezi la uchangiaji lilikofanyika leo karimjeee jijini dar es salaam

KITU
Tags
taboola

Related Articles

Close